Kara (Tanzania) (Kara)
Download PDF     
        

1. Kupima Usahihi
1. Accuracy
1. Je, tafsiri imewasilisha maana au ujumbe uliokusudiwa bila kuupotosha?
1. Has the translation presented the meaning or intended message without misleading it?
2. Je, tafsiri haijapunguza au kuongeza maana au ujumbe ambao haupo katika lugha ya chanzo?
2. Does the translation not diminish or add meaning or message that does not exist in the source language?
2. Kupima Uwazi wa Lugha
2. Language Transparency
1. Je, tafsiri imetumia maneno yanayoeleweka kwa msomaji wa lugha husika?
1. Has the dictionary used the words that are understandable to the relevant language reader?
2. Je, tafsiri imetumia maneno ya lugha husika yanayoweza kueleweka kwa watu wa rika zote?
2. Has the translation used the words of the same language that can be understood to people of all ages?
3. Kupima Uaminifu wa Matumizi ya maneno
3. Terms of Use
1. Je, tafsiri imewasilisha maneno muhimu kwa usahihi?
1. Did the translation submit keywords correctly?
2. Je, tafsiri ya maneno muhimu inawasilisha maana iliyokusudiwa katika lugha ya chanzo?
2. Does the translation of key words present the intended meaning in the language language?
3. Je, tafsiri imewasilisha ujumbe usiofungamana na mitazamo ya kidhehebu, kisiasa, kidini, au Kitheologia?
3. Has the translation presented a misconceptive message to denominational, political, religious, or philosophical attitudes?
4. Kupima Uwasilishwaji wa Mamlaka ya Biblia
4. Presentation of Bible Authorities
1. Je, tafsiri imezingatia nafasi na uongozi wa Roho Mtakatifu?
1. Does the translation focus on the position and guidance of the Holy Spirit?
2. Je, tafsiri imewasilisha ujumbe wenye mguso wa Roho Mtakatifu kwa msomaji?
2. Has the translation presented a powerful message of the Holy Spirit to the reader?
5. Kupima Kujieleza Kwa Lugha/Tafsiri
5. Measurement of Language / Translation Expression
1. Je, tafsiri imezingatia taratibu za kawaida za uandishi?
1. Has the translation taken into account ordinary writing processes?
2. Je, tafsiri imetumia maneno rahisi, sahihi na yanayoeleweka kwa wasomaji wengi?
2. Has the dictionary used simple, accurate and understandable words for most readers?
6. Kupima Uwasilishwaji wa Historia
6. History Presentation
1. Je, tafsiri imewasilisha matukio ya kihistoria kama yalivyo katika lugha ya chanzo?
1. Has the translation presented historical events as it is in the source language?
2. Je, majina ya watu, mahali au sehemu yamewasilishwa kama yalivyo katika lugha ya chanzo?
2. Are the names of people, places or places presented as in the language?
7. Kupima Uwasilishwaji wa Asili ya lugha
7. Native Language Presentation
1. Je, tafsiri imetumia misemo au muundo wa uandishi unaoleta uhalisia wa lugha husika?
1. Has the translation used phrases or formats that translate the language of the relevant languages?
2. Je, tafsiri imetumia maneno au misamiati inayowasilisha asili ya lugha husika?
2. Has the translation used words or vocabulary that convey the origin of the relevant languages?